Latest stories

 • Nilichomfanyi ato sahahu

  Nilikua na rafiki yangu Dada yangu mpenzi niliyemuamin sanaaa alikua akija Mara ananiambia mpnz wako yuko na yule mara uyu nikaamua kumgeuzia kibao kwa mumewe na mm nampigia cm na mwambia mumeo yuko na asha na mwajuma na Lea yaniii wote ili akome More

  2 likes
  Upvote

  Total votes: 2

  Upvotes: 2

  Upvotes percentage: 100.000000%

  Downvotes: 0

  Downvotes percentage: 0.000000%

 • SALAM ZAOO

                           Leo ni siku nyengine katika maisha yetu, basi awali ya chochote tuanze kumshukuru alituumba kwa kusema ahsante muumba mbingu na adhi na vilivyomo ndani yake. pili tuendelee na story yetu mzuuri leo itayoweza kufaahamika kwa jina la SALAM ZAO . tunaanza sasa ” […] More

  1 like
  Upvote

  Total votes: 1

  Upvotes: 1

  Upvotes percentage: 100.000000%

  Downvotes: 0

  Downvotes percentage: 0.000000%

 • Siamini Kabisaaaa…!! Sehemu Ya 4.

  Tulipoishia… Ni baada ya mpenzi wangu Acram kuingia ndani na kunikuta niko busy nachora picha ya muosha magari, kaka ambaye ghafla alitokea kunikaa moyoni wakati mwanzo sikuwahi hata kutamani kumona. alichukua karatasi lile, kwa makini akaliangalia machozi yakimlengalenga, pia akanigeukia mimi kwa upole na kusema pole sana, vipi lakini umeona anaendeleaje??……….. Nilibaki nikilia tu kwa […] More

  4 likes
  Upvote

  Total votes: 4

  Upvotes: 4

  Upvotes percentage: 100.000000%

  Downvotes: 0

  Downvotes percentage: 0.000000%

 • Siamini Kabisaaaaaa!!!! Sehemu Ya 3.

  Tulipoishia….. Ni Baada ya Muosha magari kunipigia simu na kuniambia anaumwa na amelazwa hospitali na ananitegemea mimi ndo nikamuhudumie…. Mume wangu Acram akaniambia “nakuomba kipenzi changu uende ukamuhudumie huwezi jua mwanaume wa maisha yako ni yupi maana kesho yetu  hatuijui mama”. Kiukweli nilishitushwa sana na habari ile,  mara Acram akaniitia gari ili iniwaishe  hospitali. Nilipanda […] More

  1 like
  Upvote

  Total votes: 1

  Upvotes: 1

  Upvotes percentage: 100.000000%

  Downvotes: 0

  Downvotes percentage: 0.000000%

 • Siamini Kabisaaa…!. Sehemu Ya 2.

  Karibu katika mwendelezo wa simulizi yetu nzuri inayoitwa “Siamini Kabisa” Tulipoishia sehemu ya kwanza, ni baada ya mimi kufunguka kwa bosi kwa kumwambia ukweli kuwa nampenda, na akanipa sharti kumkubalia yule kaka muosha magari ambaye amekuwa akinisumbua kila siku…… Kesho yake yule kaka hakuniita kabisa, niliona yupo busy anaosha tu magari, nilimwita kwa sauti sana, […] More

  2 likes
  Upvote

  Total votes: 2

  Upvotes: 2

  Upvotes percentage: 100.000000%

  Downvotes: 0

  Downvotes percentage: 0.000000%

 • Siamini Kabisaaaa….! Sehemu Ya 1.

  ​Nimemkuta ofisini, nilienda kuomba kazi ya kufanya usafi wa mazingira ya kampuni ile iliyojihusisha na kukopesha pesa. Nilimsalimia Kwa heshima sana. Alinikaribisha kiti na kuniuliza Nina shida gani. “Samahani naitwa Zuhura naomba kazi yeyote hata kama kufagiafagia nje huko!” Alitabasamu kidogo akaniambia uanze kesho kazi. Lakini kila nikimtazama yule kaka ambaye ndo nimeambiwa ndo Mkurugenzi […] More

  4 likes
  Upvote

  Total votes: 4

  Upvotes: 4

  Upvotes percentage: 100.000000%

  Downvotes: 0

  Downvotes percentage: 0.000000%

 • ZALI LA MENTALI

  Walisogezana hadi kitandani na kujibwaga. Mikono ya Daniel iligusa kila sehemu ya mwili wa Jackline na kumpagawisha vilivyo. Daniel alipoona Jackline amelegea alianza kumwigilia taratibu, kitu kilichomfanya Jackline atoe minung’uniko mizito ya kimahaba. Nayo ilizidi kwa kadri Daniel alivyokuwa akiongeza spidi. Walipomaliza Daniel aliendelea kumlalia Jackline ambaye hakuhisi uzito wowote kwa raha aliyokuwa ameipata. Badala […] More

  1 like
  Upvote

  Total votes: 1

  Upvotes: 1

  Upvotes percentage: 100.000000%

  Downvotes: 0

  Downvotes percentage: 0.000000%

 • ZALI LA MENTALI

  Kwa wiki mbili hivi Jackline alikuwa akimwona Daniel sehemu yake ya kuzia magazeti na alikuwa mteja wake mzuri tu. Kuna wakati Daniel alipokuwa hana chenji, Jackline alimwachia abaki nayo.  Alhamisi moja aliookuI wa ananunua gazeti, Jackline alimpa kikaratasi kilichoandikwa ujumbe wa kumtaka amsindikize sokoni siku ya Jumamosi.  Ilipowadia siku hiyo Daniel alikuwa anaendelea na shughuli […] More

  1 like
  Upvote

  Total votes: 1

  Upvotes: 1

  Upvotes percentage: 100.000000%

  Downvotes: 0

  Downvotes percentage: 0.000000%

 • ZALI LA MENTALI

  Daniel aliogelea hadi ufukweni na kisha akajumuika na marafiki zake Charles, Ben na Hamisi waliokuwa wamekaa mchangani wakipunga upepo.  “Vipi hamna anayetaka kugelea, maji yana joto kiasi,” aliwaambia.  Ah sio leo, mimi sijisikii kuogelea kabisa. Wacha niangalie mandhari tu,” Hamisi alimjibu.  “Ebwana ehh, umemwona yule demu, yupo mbali na amekaa muda kishenzi,” Charles aliwaambia rafiki […] More

  1 like
  Upvote

  Total votes: 1

  Upvotes: 1

  Upvotes percentage: 100.000000%

  Downvotes: 0

  Downvotes percentage: 0.000000%

 • MCHEPUKO WANGU. Sehemu Ya 10.

  Popular

  Karibu tena Mpenzi Msomaji wa simulizi hii nzuri ya kusisimua. Ni mimi Mtunzi na Mwandishi Mc Makrine. Tulipoishia……. Ni baada ya kumpeleka mwanangu hospitali akiwa katika hali mbaya sana. Nikiwa katika banda la kubadilisha pesa.. Sikuamini kabisa kumuona mume wangu kwa pembeni akipewa pesa na yule dada huku akimpa kiss pamoja na kumkumbatia kama wanaagana […] More

  16 likes
  Upvote

  Total votes: 16

  Upvotes: 16

  Upvotes percentage: 100.000000%

  Downvotes: 0

  Downvotes percentage: 0.000000%

Back to Top

Hey there!

or

Sign in

Forgot password?

Don't have an account? Register

Close
of

Processing files…